BEN BREAKER ASHINDA TUZO ZA STAR QT
Mwanamitindo na Dancer kutoka Tanzania, Ben Breaker ameipeperusha vyema Bendera ya Tanzania kwa kuibuka kinara na kushinda Tuzo kubwa sana ya STAR QT SOUTH AFRICA katika kipengele cha PEOPLE'S CHOICE AWARD ambapo katika Tuzo hizo alikuwa akichuana na watu kutoka Mataifa mbali mbali Tuzo hizo zilifanyika Usiku wa tarehe 26 oktoba 2019 katika ukumbi wa Edenvale city hall Johannesburg South Africa Ben Breaker amekuwa akifanya vizuri sana katika Tasnia ya fashion na Dance na ametabiriwa kuja kufanya makubwa sana miaka ya mbeleni
No comments